Msanii Alikiba amefunga ndoa na mpenzi wake, Aminah Rikesh leo April 19, 2018 mjini Mombasa nchini Kenya. Hapo baada inatarajiwa kufanyika sherehe kubwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee, hizi ni baadhi ya picha kwa kile kinachoenddelea ukumbini hapo.
Thursday, April 19, 2018
BURUDANI
Picha: Kinachoendelea katika ukumbi utakaofanyika sherehe ya Alikiba
Loading...
No comments:
Post a Comment