HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Thursday, April 19, 2018

    Rapper wa miaka 15 achochea bifu la Cardi B na Nikki Minaj

    Vita baridi ya Nikki Minaj na Cardi B inaonekana inaazna kuwa kubwa tena ikizidi kuchochewa na baadhi ya watu.
    Rapper wa kike ambaye ni mdogo kiumri Danielle Bregoli maarufu kama Bhad Bhabie (15), ameonekana kuingilia kati ugomvi huo na kumtaja Cardi kuwa ni bora zaidi ya Nikki.
    Bhad Bhabie amesema hayo kupitia mtandao wa TMZ. “Cardi is way better than Nicki. I don’t care what anyone says. Cardi actually says stuff. Nicki just has attitude. So what? Wow! Big deal,” amesema rapper huyo.

    Bhabie amechaguliwa kuwania tuzo za Billboard Music Awards kwa mwaka huukwenye kipengele cha Top Rap Female Artist akiwania na Nikki Minaj pamoja na Cardi B.

                                                 Bhad Bhabie
    Hata hivyo mrembo huyo amesema kuwa hafikirii kama anaweza kushinda tuzo hiyo.

    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU