Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema, ukaguzi unaofanywa kwenye Bandari ya Dar es Salaam kwa wasafiri wanaokwenda #Zanzibar, hauna lengo la kuwabagua bali ni kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi, na kuzuia wasafirishaji, wasambazaji na wauzaji wa dawa za kulevya.

No comments:
Post a Comment