HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Friday, May 11, 2018

    DUKA LA NYAMA YA NGURUWE, LIMEFUNGULIWA MAKKA



    Baada ya kuruhusu kujenga Makanisa huko Saudi Arabia, Ufalme wa Kisaudia umeruhusu maduka ya kuuza nyama ya Nguruwe.
    Sasa Saudia wameshaanza kula Nyama ya Nguruwe, alisikika Sheikh Zamran akisema huku akinunua Nyama ya Nguruwe.

    Habari zaidi zinasema kuwa, na kule Dubai wameshafungua maduka kadhaa ya kuuza Nyama ya Nguruwe, na inasemekana kuwa, nyama hii inaenda kwa kasi kuliko nyama zote.
    Hivi inamaanisha kuwa Dubai wamejaa wasio Waislam kiasi cha nyama hii kuisha haraka haraka namna hii.


    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU