HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Tuesday, June 12, 2018

    BOEING 787-8 Ambayo Inaletwa Hapa TANZANIA ina Sifa zifuatazo




    BOEING 787-8 Ambayo Inaletwa Hapa TANZANIA na Serikali ya Tanzania Kupitia Kwa Rais wetu Dr John P. Magufuli kupitia Tanzania Government Flight Agency.
    Ndege Hii imenunuliwa kwa $224.6 milion Kwa Lengo Kuu la Usafirishaji wa MIZIGO na Abiria Hasa International Routes.
    Kwa Kifupi Ndege Hii ina Sifa zifuatazo 
    Idadi ya Abiria Kuanzia 242 hadi 335
    Inatembea Umbali wa kilomita 13,620 bila Kusimama Sawa na Masaa 16 Hewani
    Inabeba idadi ya Mafuta ni Lita 101,323
    Inatumia Lita 2530 Kwa Lissa Limoja
    Kwa Wale Wafanyabiashara Ambao wengi wao Wanatoka TANZANIA Kwenda China Hasa Mikuu ya Biashara Kama Hongkong na Beijing
    Ndege Inaweza Ikatoka Dar es Salaam to Hong KONG Then ikaenda BEIJING Kwa Umbali wa Kilomita 8,761 Kutoka DSM to Hongkong halafu kutoka hongkong China Kwenda Beijing Kwa Umbali wa Kilomita 2000 na Mwisho Ikarudi DSM Kwa Umbali wa Km 9,411.
    Jumla ya Umbali Kutoka DSM-Hong kong
    then Beijing to DSM ni Sawa na Jumla ya Umbali wa Km 20,172 sawa na Masaa 9.7 Kutoka DSM-HONGKONG,Masaa 2.3 from DSM to BEIJING na Masaa 10.45 Kutoka BEIJING Mpaka DSM Sawa na Masaa 22
    Kwa Wale Wasiojua Kuwa HONGKONG ni Moja ya Mji Wenye Mamlaka ya Serikali Yake Ndani ya China na BEIJING Ni MJI Mkuu wa China ya Rais XI JINPING
    Pia ndege Itakuwa ni kivutio kikubwa kwa Watalii na Wafanyabiashara kutoka Dunia Nzima na Itaisaidia Nchi Kuongeza Soko Kubwa la utalii na International trade kwa Maeneo mbalimbali ya dunia na ndege hii ina Uwezo kuzunguka pande zote Dunian

    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU