Msanii wa Bongo Flava, Chidi Benz amekamatwa na dawa za kulevya jijini Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa habari leo June 18, 2018 Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Giless Muroto amesema Chidi Benzi amekamatwa na dawa aina bagi kiasi cha gram tano.
Akizungumza na waandishi wa habari leo June 18, 2018 Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Giless Muroto amesema Chidi Benzi amekamatwa na dawa aina bagi kiasi cha gram tano.
Si mara ya kwanza kwa Chidi Benzi kukamatwa na dawa za kulevya mkoani humo.
Utakumbuka December 30, 207 Chidi Benzi alikamatwa jijini humo akiwa na mke wake na vijana wawili kwa kosa kama hilo ambapo walikamatwa na dawa zilizodhaniwa kuwa ni Heroine.
chanzo bongo 5
No comments:
Post a Comment