WATANZANIA wameandamana nchini Sweden wakitaka madai yao ya maandamano yasikilizwe na mataifa makubwa duniani na Jumuiya za kimataifa ikiwepo Umoja wa Mataifa, Shirika la fedha Duniani (IMF) na Benk ya Dunia (WB).
Wakati watanzania hao wakipewa ulinzi wa maandamano na jeshi la polisi la Sweden, hapa Tanzania polisi wametanda maeneo mbalimbali ya nchi wakiwa na silaha za moto, mabomu ya machozi na vifaru vya kijeshi tayari kukabiliana na waandamanaji.
No comments:
Post a Comment