HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Tuesday, April 24, 2018

    Ndege kubwa kabisa aina A380-800 yatua Tanzania

    April 24, 2018

    Ndege kubwa kabisa ya shirika la kimataifa la Emirates aina ya Airbus A380-800 imetua kwa mara ya kwanza nchini Tanzania. Dege hilo lenye ghorofa mbili, uwezo wa kubeba abiria 555 kwa kujimwaga ktk madaraja mbalimbali na ikiwa imefanyiwa maboresho abiria wote wakae mkao mmoja wa gharama nafuu yaani economy class basi ina uwezo wa kubeba abiria 853 kwa wakati mmoja.




    Source: Aircraft Aviation TV

    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU