Kwa niaba ya Uongozi wa
Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, na Serikali ya Wanafunzi (TUMASO) *Wizara ya Afya* inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi
*Luciana Richard Olotu* kilichotokea tarehe 07.05.2018.
Kwa masikitiko na majonzi makubwa, marehemu majira ya saa 11 jioni alikutwa amejinyonga bafuni.
Hadi police walipofika na kuuchukua mwili kwenda kuuhifadhi ktk Hospitali ya Mt. Meru, sababu ya maamuzi ya kujinyonga hazijajulikani bado. Jeshi la Police linaendelea na uchunguzi.
Marehemu alikuwa mwaka wa pili ktk Kitivo cha Humanity and Social Science program ya BAED.
Uongozi unatoa pole Kwa mshtuko na simanzi ya kupotelewa na wanafunzi
*Luciana Richard Olotu*
Wizara itaendelea kutoa taarifa kuhusu taratibu zitakazofuata.
*Cc* .
1. Dean of Students
2. Rais wa Tumaso
3. Waziri Mkuu
4. Speaker wa Bunge
No comments:
Post a Comment