HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Friday, May 11, 2018

    Wema Sepetu akata mzizi wa fitina kuhusu lipstick zake


    Mrembo Wema Sepetu amekanushaa taarifa zilidodai kuwa bidhaa zake mpya za lipstick zinafanana na zile za mwanzo.


    Wema amesema hilo halina ukweli wowote zaidi ya watu walioamua kuzusha hilo.
    “Kiss by Wema sio Wema Sepetu Liquid Matte, Kiss by Wema ilikuwa na mafuta, hii ya pili ni kavu, hazina mafuta and zipo kwenye package tofauti na zina ubora zaidi kuliko zile za mwanzo,” Wema ameiambia HabariZero

    September 2017 Meneja wa Wema Sepetu, Happy Shame alikanusha taarifa zilizodai kuwa lipstick za ‘Kiss by Wema’ zilipigwa maarufu na Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini (TFDA) kwa kueleza kuwa bidhaa hizo hazikuwepo tena sokoni kwa wakati huo.

    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU