#Ajali yaua watatu
Taarifa kutoka eneo la RiverSide Mabibo Hostel, Ubungo kuna ajali imetokea usiku huu ikihusisha gari lililokuwa limebeba mgonjwa (ambulance) na lori la mizigo ambapo gari la mgonjwa limeingia upande wa pili wa barabara (wrong site) ikiwa inamuwahisha mgonjwa likagongana na lori kubwa ambalo lilikuwa katika njia yake sahihi.
Ajali hiyo iliyotokea muda si mrefu eneo la Riverside, imehusisha Ambulance ya Chuo kikuu cha Dar es salaam iliyokuwa ikipeleka mgonjwa Mlimani Campus tokea Mabibo Hostel imegongana na scania.
No comments:
Post a Comment