Katika show ya Harmonize ‘Kusi Night’ iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Dar Live, Diamond aliweza kuibuka kama surprise mwishoni kabisa mwa show hiyo kitu kilichoibua shangwe za aina yake kipindi ambacho watu walishaonekana kuchoka. Watazame hapa.
Saturday, June 16, 2018
VIDEO
Video: Diamond na Harmonize wasepa na kijiji dakika za mwisho Dar Live
Loading...
No comments:
Post a Comment