HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Tuesday, August 8, 2023

    Alikiba kabigiwa salute na Diamond

     


    Msanii Wa Bongo Fleva Naseeb Abdul. ‘Diamond’ amesifia wimbo wa msanii mwenzake AlliKiba wimbo wa ‘Mnyama’ mzuri.

    Diamond amesema”Wimbo wa Alli wa Mnyama ni mzuri nimeupenda na kaimba vizuri angeingia trendi nilijiandaa kusema kwasababu kanitaja ndomana.”

    Pia amempongeza kwa show aliyoifanya Ali Kiba siku ya Simba Day amesema ilikuwa mzuri anamsifu kwa hilo.

    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU