HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Wednesday, April 18, 2018

    Zitto Kabwe Ripoti ya CAG Adai Hakuna Hela yoyote Iliyopotea, Humprey




    Kuna mtu mmoja anaongoza kwa upotoshaji juu ya ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Chama chake kina mbunge mmoja tu wa ACT Wazalendo. Sijui kasoma shule gani huyu. Kaja anasoma juu juu tu eti trillion 1.5! Ana bahati ndugu Magufuli ni mpole ila tushamwambia mwaka 2020 akatafute kazi ya kufanya. Pia arudi shule akasome kwani hakuna hata shilingi moja iliyopotea - Humprey Polepole

    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU