Staa na mkali wa filamu Bongo, Irene Uwoya amefunguka kuwa ‘tatuu’ aliyoichora kama kumbukumbu kwa rafiki yake kipenzi, video queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ haikumuuma hata kidogo tofauti na tatuu nyingine alizozichora mwilini mwake.
Akizungumza na Amani, Uwoya alisema kuwa kuchora tatuu hiyo mkononi mwake kunaonesha wazi Agness anaendelea kuishi ndani ya moyo wake siku zote na atamkumbuka sana kipindi chote cha urafiki wao wakati wa enzi za uhai wake

No comments:
Post a Comment