HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Wednesday, April 18, 2018

    Zlatan kurudi tena timu ya taifa, “Bila mimi hakutakuwa na Kombe la Dunia”

    Unatamani kumuona tena Zlatan Ibrahimovic akiwa amevaa jezi ya Sweden akicheza michuano ya kombe la dunia Juni mwaka huu nchini Urusi?
    Japo Juni 21, 2016 mchezaji huyo alitangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa lakini kunauwezekano mkubwa akarudi tena kuchezea timu ya taifa.
    Zlatan aliweka wazi nia yake hiyo kwenye kipindi cha runinga cha Jimmy Kimmel Live huku akisisitiza kuwa bila yeye hakuna kombe la dunia.

                Zlatan akiwa kwenye kipindi cha Jimmy Kimmel Live
    “I’m going to the World Cup, yes. I just said I’m going to the World Cup. If I say more, people will hang me so I have to be careful what I say now,” amesema Zlatan.
    “A World Cup without me wouldn’t be a World Cup,” ameongeza.

    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU