HABARI BURUDANI MICHEZO UDAKU AJIRA MUZIKI NA MENGINE MENGI KWENYE UKURASA HUU

  • Breaking News

    Thursday, May 31, 2018

    Klabu ya Derby County imemtangaza Kiungo wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard kuwa kocha wake

    Kiungo wa zamani klabu ya Chelsea, Frank Lampard(39) amethibitishwa leo Mei 31, 2018 kuwa Kocha wa timu ya Derby County akichukua nafasi ya Gary Rowett aliyeenda kufundisha timu ya Stoke City

    Derby County inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini humo(Championship League) imempatia Lampard mkataba wa miaka mitatu

    Akiongea mwenye Lampard amesema "Hii ni kazi yangu ya kwanza kama kocha, lakini niefanya kazi kwa karibu na makocha kadhaa wazuri. Nina uhakika katika uwezo wangu na timu inayonizunguka pamoja na boadi"

    lampard 2.jpg

    Lampard ameichezea timu ya Taifa ya Uingereza mara 106, pia ameichezea Klabu ya Chelsea mara 649 na ndie anaye shikilia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo ya darajani


    Je, Lampard atafanikiwa katika kazi hii ya ukocha?

    No comments:

    Loading...

    AJIRA

    SIMU

    AFYA

    UDAKU