Mtanzania mwenzetu anayefahamika kwa Jina la Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani, aliwahi kuishi Dom na kusoma Mzumbe Sec, kwa wanaojua zaidi chanzo na taratibu za mazishi watujuze, R. I. P kaka wewe mbele sisi nyuma.
BADO TUNA KUSANYA CHANZO ZA KIFO CHAKE HADI SASA HABARI ZINAZO TUFIKIA KWA WATU WA KARIBU NI:
Mkuu kama kawaida wabongo wanaamini kila wanachoona online tena instagram smh! Forensic investigation bado inaendelea ila tayari watu wameshatoa hukumu, Drew alipigwa risasi moja tu kichwani na mnugu aliyekuwa ameenda kwenye event na mkenya. Zaidi tusubiri police report. Drew ni ndugu yangu kabisa
Alikuwa ni registered nurse(RN) na masters of public health (MPH). Kiuchumi alikuwa vizuri sana na mtu wa watu sana ndiyo maana alikuwa maarufu kwa jumuiya ya waafrika Marekani.
Ukweli alipigwa risasi ila sababu ya kupigwa risasi siijui coz hata wenzake huko USA wameelezea hilo na waliweka hadi misa ya kumuombea na ilihudhuriwa na watu 349 huko Houston.Hawakusema nini chanzo cha risasi alizopigwa,ila niliwaza inawezekana ni uhalifu tu.
No comments:
Post a Comment