Shirika la fedha duniani IMF leo tarehe 3/6/2018 limetoa orodha ya nchi 28 maskini zaidi duniani ambapo wananchi wake wanaishi chini ya $ 1,000/= kwa mwaka....
28. Sudan - GDP per capita: $ 992
27. Benin $ 966
26. Chad $ 919
25. Nepal $ 918
24. Mali $ 917
23. Guinea-Bisau $910
22. Ethiopia $ 909
21. Comoros $ 869
20. Tajikistan $ 848
19. Haiti $ 847
18. Rwanda $ 819
17. Guinea $ 816
16. Burkina Faso $ 750
15. Liberia $ 722
14. Uganda $ 711
13. Togo $ 698
12. Afghanistan $ 601
11. Niger $ 510
10. Sierra Leone $ 505
9. The Gambia $ 500
8. Madagascar $ 479
7. DRC $ 477
6. Mozambique $ 472
5. Yemen $ 449
4. Central African Republic $ 425
3. Malawi $ 342
2. Burundi $ 339
1. South Sudan $ 246
No comments:
Post a Comment