Rapper huyo amedaiwa kuingia kwenye mahusiano na mwanamitindo wa mjini Toronto, Malaika Terry (22) ambaye amekuwa maarufu kwenye mtandao wa Instagram kutokana na picha zake anazoweka.
Wawili hao wiki hii wameonekana kwenye mitaa ya mjini Toronto wakiwa pamoja na kupata chakula cha mchana kwenye mgahawa wa Tornoto’s Cafe Nervosa huku wakiwa wanasindikizwa na walinzi wao waliojazia nyama za kutosha.
Hata hivyo chanzo kimoja cha karibu na hit maker huyo wa God’s Plan, ameuambia mtandao wa MTO News kuwa tayari Malaika amekutana na mama yake Drake na wawili hao wanaweza wakaishi pamoja.
“Drake likes a lot of women, but Malaika’s special. She met [Drake’s ] mom and everything. I can see him settling down with her. And that’s crazy to say cause Drake is a real HOE,” kimesema chanzo hiko.
Tazama picha zaidi za Malaika Terry hapa chini.
No comments:
Post a Comment